Angalau boda boda waogope kukimbiza.Matuta ya barabarani huku kwetu Uswahilini duh! Sidhani kama wanaweza weka tuta kama hili Masaki au Oysterbay.
View attachment 1790699
[emoji23][emoji23]
Duuuu, mpaka huku[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee !!!
View attachment 1790640
Tulikuwa tunaburuzwa kama toroli...
Kwenu uswahilini watoto wenu wanacheza barabarani, Masaki watoto wao wanacheza ndani ya fensi.Matuta ya barabarani huku kwetu Uswahilini duh! Sidhani kama wanaweza weka tuta kama hili Masaki au Oysterbay.
View attachment 1790699
Wana nini hao wa mama!!?Kumridhisha mwanamke WA kabila hiyo ni shughuli pevu inabidi ununue Tani ya Vumbi la Congo. Hiyo ni Kwa le vibamias.
jakitoo, habari za kupoteaView attachment 1790971
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jizazi [emoji16]Kwenu uswahilini watoto wenu wanacheza barabarani, Masaki watoto wao wanacheza ndani ya fensi.
Hamtalingana, mliandamana ili muwekewe. matuta ndiyo hayo sasa[emoji23][emoji2089][emoji2089]
jakitoo, habari za kupotea