Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
😄😄😄
Hahaha, umenichekesha aisee. Nakwambia Africa wangeizoom kwa mbali na hata wakija labda kwa biashara na maagano ya maendeleo ya nchi, mambo mengine zii! 🤣 Sahi Africa tungekuwa tunaishi maisha freshi kweli. Lakini ndo hivyo, hizo akili nazo sijui zilikuwa wapi wakati huo, hiyo yote elimu hatukuwa nayo, Duh 😂Hebu fikiria "vichaa" kama akina Kinjeketile Ngwale, Mkwawa, Mangi Sina, Chaburuma, Dedan Kimathi, Shaka Zulu, Malkia Nzinga Mbande,
Mirambo na wengineo wangekuwa na mashine kama hizi, haki ya nani tusingetawaliwa!
Vipi huko mshafungua? Huku KE tayari, leo, kesho na nadhani hata weekend yote full shangwe hadi Jumatatu watu warudi kazini!
Huyo malkia Nzinga alikua mbabe sana kuna siku wazungu walimwita kwenye makazi yao wakubaliane kusitisha vita wazungu wakawa wakaa kwenye viti ila malkia Nzinga hakupwlewa kiti cha kukaaa ...Kwa jeuri aliita mjakazi wake akamkaliaHebu fikiria "vichaa" kama akina Kinjeketile Ngwale, Mkwawa, Mangi Sina, Chaburuma, Dedan Kimathi, Shaka Zulu, Malkia Nzinga Mbande,
Mirambo na wengineo wangekuwa na mashine kama hizi, haki ya nani tusingetawaliwa!





Duh, ndo maana hatukupewa akili za mzungu wakati huo kumbe. Sasa kama kamkalia mwafrica mwenzie, hivi si tungeji colonize wenyewe tungekuwa na uwezo wa kutengeza silaha walizokuwa nazo wazungu!? 🤣 🤣 🤣Huyo malkia Nzinga alikua mbabe sana kuna siku wazungu walimwita kwenye makazi yao wakubaliane kusitisha vita wazungu wakawa wakaa kwenye viti ila malkia Nzinga hakupwlewa kiti cha kukaaa ...Kwa jeuri aliita mjakazi wake akamkalia![]()
Duh, ndo maana hatukupewa akili za mzungu wakati huo kumbe. Sasa kama kamkalia mwafrica mwenzie, hivi si tungeji colonize wenyewe tungekuwa na uwezo wa kutengeza silaha walizokuwa nazo wazungu!?![]()
![]()
![]()


Mkuu huyo dada alikua mbabe wazungu wenyewe walichoka maana alikia na akili kubwa sana harafu ni mwanamke ..ukitaka kujua ubabe wake ingia youtube ingiza jina queen NzingaUnaweza ukahisi utani aisee Kuna jirani yangu hajaenda kazini na kafungua na yupo anakula iddi Kama kawaida na bahati mbaya ni shabiki wa yanga




