Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,336
- 71,163
Wasukuma mmeanza kujihami mapema tu[emoji13][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1782609
Wasukuma mmeanza kujihami mapema tu[emoji13][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1782609
Vita ni vita mura!Wasukuma mmeanza kujihami mapema tu[emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sijauliza[emoji3][emoji23][emoji3][emoji23]View attachment 1782742
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1782609
Hivi kwa mfano mechi ikitanganzwa tena na sisi wananchi tukaziraaaa kwenda uwanjani kushangilia hivi ni nani atapata HASARA?Tumechoka kupelekeshwa,na sisi wananchi siku tukaamua yetu hizo mechi zitabaki stories.
Hii ni sawa na sisi walevi Tanzania nzima tugome kunywa pombe yoyote kwa mwezi mzima nadhani nchi inaweza kuelewa ni nini mchango wetu katika uchumi wa nchi,ngojeni tujitambue[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1780456
Unaamua kulala kidogo ili usahau matatizo yako ukilala unayaota[emoji23][emoji23]
Mkuu wewe ni Mtaalam![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sijauliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mgomo wa walevi hautakaa ufanikiwe...ogopa kitu kinaitwa kiu na hamu ya ugimbiHivi kwa mfano mechi ikitanganzwa tena na sisi wananchi tukaziraaaa kwenda uwanjani kushangilia hivi ni nani atapata HASARA?Tumechoka kupelekeshwa,na sisi wananchi siku tukaamua yetu hizo mechi zitabaki stories.