wiih, i kitu wacha kabisa! 😵
Wakimaanisha mbona hana tako
Usilipize kisasi mkuu. Tualikane

Ilikuwa haikawii kujam hii...Lewis Gun reloading mechanism
View attachment 1782557
View attachment 1782558
Also known as Lewis automatic machine gun or Lewis automatic rifle, is a First World War–era light machine gun.
Yeah, ila ilifanya kazi yake kiasi. 😂 Africa ndio maana tulitawaliwa kweli, watu wana mitambo hii toka hio enzi, sisi ni mikuki kama apocalypto, duh. Tumetoka mbali aisee! 😂 😂 😂Ilikuwa haikawii kujam hii...
Dorothy Gwajima: sijawahi kusema mtumie mchanganyiko wa tangawizi na limao kutibu coronaShosti yake Bi MkubwaView attachment 1782369
Hebu fikiria "vichaa" kama akina Kinjeketile Ngwale, Mkwawa, Mangi Sina, Chaburuma, Dedan Kimathi, Shaka Zulu, Malkia Nzinga Mbandi,Yeah, ila ilifanya kazi yake kiasi.Africa ndio maana tulitawaliwa kweli, watu wana mitambo hii toka hio enzi, sisi ni mikuki kama apocalypto, duh. Tumetoka mbali aisee!
![]()
![]()
![]()
Hivi kwa mfano mechi ikitanganzwa tena na sisi wananchi tukaziraaaa kwenda uwanjani kushangilia hivi ni nani atapata HASARA?Tumechoka kupelekeshwa,na sisi wananchi siku tukaamua yetu hizo mechi zitabaki stories.




