Vituko mitandaoni. Tupia chako

Emu
Akikudonoa kichwa huponi
Huwezi kumzidi mbio. Ni hatari kuliko mbuni.
Asante mkuu, Emu kumbe, nilimfananisha na Cassowary, pia wa Australia, hatari sana pia ukiwa 18 yake, anamaliza kazi. Australia dadeq kuna wanyama hatari wasiopatikana sehemu zingine duniani, kuanzia nyoka, ndege na hata baharini. Duh, kule nomare!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…