CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,044
Mi nimeivunja juzi....hiyo ndoa ikae tu....itavumiliwa na Wasukuma.
Mi nimeivunja juzi....hiyo ndoa ikae tu....itavumiliwa na Wasukuma.
Napataje hizi pg?Hizi page za je,wajua?je,wajua? Sometimes waongo khaaa!!!![emoji15]View attachment 1781416
Instagram na fb huko utawakuta..Napataje hizi pg?
HahaaaaaaKumekuchaaaaView attachment 1781610
Yai la Emu hili...
View attachment 1781299
Sofapaka fc... 😂 😂 😂Mashabiki wenzangu tumpeni timu huyu mtu atatufikisha mbali[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1781611
Australia labda niishi town, lakini vijijini hapana! 😂 😂 😂Achana na hao ndege walisha wahi kushinda vita huko Australia hadi wakapewa ardhi yao. Kasome the great Emu war.
Nimecheki kumbe wana mbinde hivyo, hadi kuletewa vifaa vya vita Duh 😂Achana na hao ndege walisha wahi kushinda vita huko Australia hadi wakapewa ardhi yao. Kasome the great Emu war.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tupe Ushuhuda wako [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1781680