ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 4,611
- 14,180
Kilingeni leo pamevamiwaBLINKING NEWS
Nimefatilia Taarifa ya Press ya Waziri wa michezo Juu ya Mechi ya SIMBA na YANGA ni Kwamba Lema na Jaji Mkuu kifo cha yule diwani aliyeuawa guest ni kwmba Ali Kiba Ndiye Msanii Bora kwa sasa Tanzania hayo aliyasema Ozil wakati Anafunga goli dhidi ya Hardware za Kusambaza Mchanga Kwenye Uchaguzi wa Kumtafuta Miss Temeke Husaidia Mtu Aoge kwenye Gari Ambalo Halina Laptop zenye Ukubwa wa Chai ya Maziwa yenye Barabara za Kwenda Calculator hadi Maji Makubwa ya Kilimanjaro ndio huleta Matairi ya Kifaru cha Mwinuko wa Bahari Kwenye Ukuta wa Maji.
![]()











