Sasa nimekupata na ninasema kazi iendeleeee
Fundi Maiko hataki watu watelezeFundi maikoView attachment 1778845
[emoji23][emoji23][emoji23]Fundi Maiko hataki watu wateleze
Hapo hata umwage povu no kuanguka,safi kabisa
[emoji120][emoji120][emoji120]Mjadala huu tulishaufunga kamanda. Tuonane Julai Mungu Akipenda [emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1778765
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kichwa cheupe kinataka kuongea lugha ya watu weupeAim global[emoji2]View attachment 1778835
Nuksi tupu[emoji16][emoji16][emoji16]
Tena naomba ipangwe wakat simba ameshakuwa tayari ili wajipange na Simba apite kati kati yao huku wakimpigia makofi na kipigo juu
Yu a welokamu. I know you are a great mother [emoji1545]Thanks a lot. I really proud of that.
Unyanyapaa ameuanza mwenyewe kwa kuwa racist na kusema kuwa weupe peke yao ndo wanaweza kumkula. She deserves it...all of it...and more !!!Huo ni unyanyapaaa
Samwel anaonewa tu. Alikuwa bado mdogo na hakujua kama Mungu ndiye alikuwa Anamwita mpaka nabii Eli alipomtanabaisha.