Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Nilikuwa sifahamu hilo!Bila hicho kidole unapoteza asilimia 25 ya uwezo wako wa kusimama pamoja na kukimbia sawasawa...
Ila na chenyewe kimezidi kujibamiza kwenye kona za vitanda na meza [emoji51][emoji51][emoji51]
Mmeanza kuleta matusi sasa, nyau
[emoji23][emoji23][emoji23]
Baba wa kambo
Matusi unayajua? Nyau?Mmeanza kuleta matusi sasa, nyau
Ukisikia mwamba kala chumvi nyingi ndo kama hivi sasa ...
Take away[emoji848][emoji848][emoji3064][emoji3064][emoji3064]