Huyu ndugu mi binafsi sikikukubaliana naye.Mimi ni mmoja wapo wa WALIOFURAHI KUANGUKA KWA KATIBU MKUU huyu
alituvuruga kila kona, alichomeka anayoyajua, akajisahau kuwa cheo ni dhamana
acheni naye yamkute, kuanguka ni kuanguja tu
Wewe unaweza kulipa mahari milioni 15 kwa huyo dada?Zikiwa nyingi mwisho 15
Shauri yakoHuu muungano uvunjwe tu[emoji16][emoji16]View attachment 1766773
Wapenda nyama za bei rahisi poleni [emoji849][emoji849]
Teh teh teh [emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1766857
Kila nafsi itaonja umauti [emoji2089][emoji2089][emoji2089]Kila nafsi itaonja mauti...
View attachment 1766926
[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
Fundi wa umeme wa MombasaView attachment 1766935
Fundi maiko kazini
Mbona ilipata tafasiri ya kueleweka kitambo tuView attachment 1766938
Hii picha watu wengi walishindwa kuitafsiri, lakini kwasasa tafsiri yake naona inaelekea kueleweka!
Hakupaswa kuweka sturi, pipa lilitoshaKwani huoni kuwa hapo alipopanda kwa urefu wake imebidi ajipinde!?
Mama ShikamoooMmhhh. Jicho Sio mchezo . View attachment 1766992
[emoji23][emoji23][emoji23]