Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona wameshapata mpaka mafuvu yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1766089
😂😂😂 anafanana na mzee wa ubwabwa
[emoji23][emoji23]ukishaanza kukaa na wakongo kwenye mavazi lazima utaanza kuleta mtafarukuKaribu bei za vijiko, uma na visu zitapanda bei...
View attachment 1766084
[emoji23][emoji23][emoji23]saa hiyo MTU anatumia fuvu tu ubongo umelalaWabongo bana [emoji16]
View attachment 1766087
Hahahaaaa anajiandaa kupasuka huyoKama hujui strees ndio utajua kama unajuaView attachment 1766051
[emoji23][emoji1787][emoji1787]tunamloga na dhambi hatupati!Mtu mmekunywa naye Bia miaka 4 akiwa Jobless.. Kapata Kazi anadai Ameokoka ameacha Pombe
Inauma Sana! huyu ukimloga hupati dhambi
Hata akiokoka bia zetu lazima azilipie tutapeleka bili huko huko wokovuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]tunamloga na dhambi hatupati!
Usisahau na kuvua shati unaliweka begani unatembea kifua wazi!