Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,433
- 38,401
Ndugu wacha kuweka mambo ya kipuuzi kwenye Genesis, labda unamaanisha GeniusKwa hiyo yupo kwa Genesis book sio
Gravitational force ilizimwa labdaJordan aliwahi kuDUNK na kukaa on air for 8 minutes View attachment 1765272
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Story za kwenye Alkasusi...hakuna mtu anaeweza kukaa hewani kwa sekunde 8 japo wewe umeandika dakikaJordan aliwahi kuDUNK na kukaa on air for 8 minutes View attachment 1765272
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wameuza figo ili kununua iPhone ama?Yuno waririzzView attachment 1765381
Na bado linaweza kukuchapia tu - hasa kama lina mjulus kukuliko [emoji16]Akina cazinView attachment 1765382
Gravitational force ilizimwa labda
Obviously ni porojo ndo maana kaileta kwenye thread hii ya vituko vya mtandaoni. Naamini anajua kuwa ni porojo tu.Story za kwenye Alkasusi...hakuna mtu anaeweza kukaa hewani kwa sekunde 8 japo wewe umeandika dakika
Unapoona Jambo au ukiambiwa Jambo jaribu kutumia akili kulichanganua
Kwanini haiwezekani? Bro wangu ni mrefu na huruka hewani na kukaa hewani for 2 mntsStory za kwenye Alkasusi...hakuna mtu anaeweza kukaa hewani kwa sekunde 8 japo wewe umeandika dakika
Unapoona Jambo au ukiambiwa Jambo jaribu kutumia akili kulichanganua
Gravitational force ilizimwa labda
Ndugu wacha kuweka mambo ya kipuuzi kwenye Genesis, labda unamaanisha Genius
Wameuza figo ili kununua iPhone ama?
[emoji23][emoji23][emoji23]akii tutapataje kuponaNa bado linaweza kukuchapia tu - hasa kama lina mjulus kukuliko [emoji16]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mzee kashtukaView attachment 1765383
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatareee...View attachment 1765435