Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

'
20210426_124402.jpg
 
ZIJUE AINA ZA POMBE NA SIFA ZAKE

Wakiindi _hii inakufanya uyaone maisha ni laini na kujiona wewe ni kila kitu

Komoni _ hii inakupa ufundi na ujasiri wa kutongoza demu yeyote unayemtaka

Chipumu _ hii inakufanya ujione wewe ni Tajiri

Wanzuki_ Sifa yake kuu ukinywa ni kujiamni na una uwezo hata wakupigana na Tembo

Ulanzi_ Hii ukinywa miguu inakua kama umefungiwa mawe

Mbege_ hii sifa yake ukiinywa unajiona mbabe

Gongo _Hii ni babukubwa ukinywa lita moja kwa siku kesho yake kaburi linakuhusu

Pingu _ Ukiinywa hii jiandae kujinyea njia nzima

Kibuku _ hii ukiinywa sifa kubwa ni kuongea kiingereza inafaa sana kwenunye interview za English

Ulaka _ hii sifa yake kubwa ni inakupa experience ya kutoa matusi inafaa sana ukigombana na mtu

Chang"aa _ sifa yake hii ni kupenda kusifiwa unataman ufanye vitu vizur watu wakisifie

Kangala _ hii sifa yake ni utulivu ukiipiga hii usingizi mnono unaupata

Hapo mi zote napiga ila inategemea na hari na muda[emoji23][emoji23]by kichaa karogwa tena
 
Hapo kwenye mbege hapo[emoji23][emoji23][emoji23] inamaana mimi nilikua napambana na mbege mwilini? Sijasahau
 
Back
Top Bottom