Vituko mitandaoni. Tupia chako

ZIJUE AINA ZA POMBE NA SIFA ZAKE

Wakiindi _hii inakufanya uyaone maisha ni laini na kujiona wewe ni kila kitu

Komoni _ hii inakupa ufundi na ujasiri wa kutongoza demu yeyote unayemtaka

Chipumu _ hii inakufanya ujione wewe ni Tajiri

Wanzuki_ Sifa yake kuu ukinywa ni kujiamni na una uwezo hata wakupigana na Tembo

Ulanzi_ Hii ukinywa miguu inakua kama umefungiwa mawe

Mbege_ hii sifa yake ukiinywa unajiona mbabe

Gongo _Hii ni babukubwa ukinywa lita moja kwa siku kesho yake kaburi linakuhusu

Pingu _ Ukiinywa hii jiandae kujinyea njia nzima

Kibuku _ hii ukiinywa sifa kubwa ni kuongea kiingereza inafaa sana kwenunye interview za English

Ulaka _ hii sifa yake kubwa ni inakupa experience ya kutoa matusi inafaa sana ukigombana na mtu

Chang"aa _ sifa yake hii ni kupenda kusifiwa unataman ufanye vitu vizur watu wakisifie

Kangala _ hii sifa yake ni utulivu ukiipiga hii usingizi mnono unaupata

Hapo mi zote napiga ila inategemea na hari na muda
by kichaa karogwa tena
 
Hapo kwenye mbege hapo
inamaana mimi nilikua napambana na mbege mwilini? Sijasahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…