Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,297
- 21,699
Hiki Sio kituko
Hiki Sio kituko
Aisee rafiki kama huyo hafai kabisaNinaye rafiki kama huyo...mshenz sana huyo jamaa,anaweza kuwa na 50000 mfukoni lkn akikuona na 5000 lazma atakuomba 2000 au 1000...
Bi mkubwa mwenye udambwi dambwi wake..

Sio Sanje hapa?
Sema "Amin".Hiki Sio kituko

Mabaharia hao
AmeenSema "Amin".
Ukiombewa Duah usianze maneno, ipokee tu![]()