Kweli tumetofautiana, nikiwa secondary kuna dada alikuwa rafiki wa dada yangu kaolewa na afisa wa police Mzee kabisa nikamuuliza sister, vipi huyo mwenzio sister akacheka kweli, kasema pesa mdogo wangu mwenyewe anasema anasubilia pesa ya kinua mgongo, kweli yule Baba katangulia dada sahizi kaoa nayeye!