Tunaonewa sana[emoji3][emoji3][emoji3]Mpaka nakaribia kuchoka kuwatetea sasa. Bagosha [emoji51][emoji51][emoji51]
Kwa Mtaka tunasema Mitano Tena.Mimi sina wasiwasi na Mtaka wetu. Sana sana atapandishwa cheo. Alisimamia haki sana na hakuwa na mbwembwe hizi zingine za walewa madaraka...
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wamenenepa sanaa , kumbe vyuma vilibana kwetu tu sio kwao
Mnaonewa na nani jamani?[emoji23][emoji23][emoji23]Tunaonewa sana[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimae mwandiko wa MNYONGE wapatikana huko chatoView attachment 1746571