Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Tuko kwenye mada ya vituko mitandaoni, nadhani ndio maana pia ukapost huku ,hivyo hata reply zake zina mrengo huo











Tuko kwenye mada ya vituko mitandaoni, nadhani ndio maana pia ukapost huku ,hivyo hata reply zake zina mrengo huo











Mpaka nakaribia kuchoka kuwatetea sasa. BagoshaYaani wasukuma tuna taabu Sana![]()



Mimi sina wasiwasi na Mtaka wetu. Sana sana atapandishwa cheo. Alisimamia haki sana na hakuwa na mbwembwe hizi zingine za walewa madaraka...Mkoa gan tenaView attachment 1745529
Huyu bonge naye kwa mipasho. Utafikiri Mzaramo![]()
Kama uko Nyaishozi vileNimependa hivyo yanavyotoka![]()



Anajaribu kujiweka active mitandaon ili asisahaulike 25 mbali sanaHuyu bonge naye kwa mipasho. Utafikiri Mzaramo![]()
