Huyu Ni mtu au picha? Sasa mbona kashika nyonyo jamani
Not to that extent my friend. Aliyetengeneza hili bango keshakamatwa. Demokrasia nzuri ni ile inayoheshimu mila, historia na utamaduni wa watu. Kwa mantiki hiyo demokrasia lazima iwe na mipaka. Hata nyumbani kwako naamini ndivyo ilivyo vinginevyo itakuwa hovyo tu !!!Demokrasia huru
hii inatwa popo kanyea mbingu
Tuko kwenye mada ya vituko mitandaoni, nadhani ndio maana pia ukapost huku ,hivyo hata reply zake zina mrengo huoNot to that extent my friend. Aliyetengeneza hili bango keshakamatwa. Demokrasia nzuri ni ile inayoheshimu mila, historia na utamaduni watu. Kwa mantiki hiyo demokrasia lazima iwe na mipaka. Hata nyumbani kwako naamini ndivyo ilivyo vinginevyo itakuwa hovyo tu !!!
View attachment 1745889
Nitacheka huku naliaUnahuzunika zako msibani ghafla binti wa kisukuma anapita na hizi ndula.View attachment 1745906








