Raphael focus
JF-Expert Member
- Nov 4, 2018
- 782
- 4,621
Kweli sijawahi fanya hivo, hicho hicho kidogo tunakula wote
Aiseeee unataka vita Bob? Sisi ni pimbi?Pimbi sana hawa watani zanguView attachment 1740281
Na iwe heri mama atupe raha hata kidogo
Muuaji WA upinzani nae kauawa.
Aliyetengeneza hii katuni sijui aliwaza nini?Vile unavyonasa kwenye mtego wa motivation speakers bila kutambua athali zake.
View attachment 1740311
Kafa kifo cha kawaida na watu wengi wamemzika,sasa mimi na wewe hatujui tutakufa kifo gani au mazishi yetu yatakuaje.