[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli asee, waganga wote wangejifanya mti huo ni wa MizimuIngekuwa huku kwetu Bongo ungekuwa umeshakufa kwa kuchumwa kwa ajili ya kutengenezea madawa
Ni kutawaliwa kifikra tu. Utakuta chanzo chake ni mizimu ya wazungu huko!
Umenifanya nikumbuke hii post ya Millard Ayo niliamuaga ku screenshot sabu ya comments zake tu! Em soma hiyo ya chini jamaa akisema macho ya Kenyatta kama kapiga Safari [emoji23]
Tumapaja hatugusani hana jotoKa Flaviana Matata ketu [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1736177
Aya mkuu ngoja tupambaneFanya bidii watoto wako waoshe viombo kwa sink [emoji108][emoji108]sio kutoa fiombo njee nikama wanaosha nguruwe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji174][emoji23][emoji23][emoji23]