Baharia hapo anataka kuwa tembo naye apandwe [emoji16][emoji23][emoji23]View attachment 1734383
🤣🤣🤣Me too [emoji16][emoji28][emoji28]View attachment 1734387
Hela za urithi tu ndo zinatafutwa hapo[emoji16][emoji16]View attachment 1734394
[emoji16][emoji16]Baharia hapo anataka kuwa tembo naye apandwe [emoji16]
Mkuu kuna picha uliwahi kuiweka imepigwa ufukweni kuna jamaa anapita anaendesha baiskeli amevaa kanzu nyeupe na kuna watu wengine wachache wanaonekana kwa mbali! Halafu ule ubluu wa bahari na mbingu ni kama umeongezewa effects hivi umekozwa kama bado unayo tafadhali naomba uiweke hapa!Msitu na nyikaView attachment 1734399
PhotoshopMade In Dar es SalaamView attachment 1734661