curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
Ffgh
Yale makubwa tunatumia kama mito ya kulalia, nothing else![emoji91][emoji91][emoji91][emoji818][emoji818][emoji818]
View attachment 1733815
Vunja chungu. Sijui ukimfanyaje chungu home kinavunjika🤣🤣 utotoni kuna mambo ya kifala sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vunja chungu. Sijui ukimfanyaje chungu home kinavunjika[emoji1787][emoji1787] utotoni kuna mambo ya kifala sana.
mkata masikio..
Vunja chungu. Sijui ukimfanyaje chungu home kinavunjika[emoji1787][emoji1787] utotoni kuna mambo ya kifala sana.
Halafu hii ni avatar ya mtu humu JF sema id yake nimeisahau
Acha umbea!😎😎😎Halafu hii ni avatar ya mtu humu JF sema id yake nimeisahau
Usipovaa shati anaingia kwenye kitovu