Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1616048971616.jpg
 
Acha upumbavu, kati yako na Magufuli ni nani ana haki mbele za Mungu.? Magufuli ana makosa yake na ww na Mm tuna makosa yetu na kila mtu atahukumiwa kwa makosa yake
Unaelewa tofauti ya makosa ambayo nimetenda mimi na makosa ambayo ametenda Magufuli?Mimi nimewahi kuwa Rais?Unalinganisha makosa ambayo nimetenda mimi raia wa kawaida na makosa ambayo ametenda mtu ambae aliwahi kuwa Rais?Unajua jinsi ya kulinganisha vitu na kutofautisha vitu?
 
Duuuh kweli nmeamini kuwa Mtanzania ni mzigo, kwahy kwenye hukumu ya Mungu pia kutakuwa na madaraja kutokana na cheo cha mtu alichokuwa nayo duniani.?
 
Duuuh kweli nmeamini kuwa Mtanzania ni mzigo, kwahy kwenye hukumu ya Mungu pia kutakuwa na madaraja kutokana na cheo cha mtu alichokuwa nayo duniani.?
Unajua kusoma?Wapi nimezungumzia cheo na madaraja ya watu?Unahitaji PhD kujua ya kwamba dhambi anazotenda mtu ambae ni Rais ni tofauti kabisa na dhambi anazotenda raia wa kawaida?Mimi nimewahi kuteka watu na kuwaua na kwenda kuwatupa baharini?Mimi nimewahi kubambikizia wapinzani kesi za kuhujumu uchumi?Mimi nimewahi kutumia TISS kutesa wapinzani?Mimi nimewahi kuagiza kuwa hakuna kupambana na Corona ili Watanzania wengi wafe?Mimi nimewahi kunyanganya watu haki zao za kuishi kisa tu wamenikosoa?Mimi nimewahi kunyang'anya watu uhuru wa kuchagua viongozi wanaowataka?
 
Back
Top Bottom