Hapa hamna baba sauti haipo kushoneshwa sare mzee wa yes kila k2 hapo[emoji23][emoji23]View attachment 1728929
Sorry sijawahi shangilia maovu🏃♂️ usinijumuishe kwenye kundi hilombona mlishangilia Lema alivyokimbia Kifo, au alipotupwa Jela mwenye maamuzi ni Mungu muuma wa vyote acheni na yeye afurahi na kurudi nyumbani kwake Arusha.
Hata Kambona na Babu walirejea tena mapema ugomvi ukifukuta
[emoji28][emoji28][emoji28]labda mke ndo anafurahi hvoHapa hamna baba sauti haipo kushoneshwa sare mzee wa yes kila k2 hapo