Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji38][emoji38][emoji38]
huyu mwamba ilikuaje tena [emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]View attachment 1713403
[emoji16][emoji16]sijui ni nini kilimkuta mwamba mpaka atembee kwenye barabara ya mwendokasihuyu mwamba ilikuaje tena [emoji1787][emoji1787]
Hapo fimbo lazima idunde!View attachment 1726549
Amejaladia
dahh, bila shaka mwamba alikuwa kavurugwa , dreva ilibd awe mpole tuu,, hahaa[emoji16][emoji16]sijui ni nini kilimkuta mwamba mpaka atembee kwenye barabara ya mwendokasi
[emoji16]sijui ndio maisha yanatuvuruga au vipi?! Jamaa anatembea zake taratibu mwendokasi unamfata hapo nyuma!dahh, bila shaka mwamba alikuwa kavurugwa , dreva ilibd awe mpole tuu,, hahaa
This IS NOT OK. These are innocent kids. Just remove it...View attachment 1726547
Mtumbua majipu toka utotoni
Watu wamevurugwa tu na hii misaba tena[emoji16][emoji16]sijui ni nini kilimkuta mwamba mpaka atembee kwenye barabara ya mwendokasi