moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,132
- 770,197
Alikuwa anategemea TV ya chogo lakini amekutana na flat screen tena model mpya kabisa. Pole zake baharia![]()





Alikuwa anategemea TV ya chogo lakini amekutana na flat screen tena model mpya kabisa. Pole zake baharia![]()





Anaweza zaliwa kuanzia miez sita wanaita njiti
Maandazi peke yake wakati wewe ndiyo kikongwe hapaNiliwahi kununulia maandazi hii dah !



Povu la kutosha
Hahahaha, ati braza mwenye mapembe.
Nimejitahidi sana kujifanya sielewi lakini akili inakataa, inajisemea unawajua hawa maligenderi![]()


usijali hautokuwa peke yako!Huyu katisha, hataki kabisa usumbufuView attachment 1725771View attachment 1725772View attachment 1725773
Sitaki shobo na mamilioni yangu
Hukawii kusikia mjomba wako huku kijijini anaumwa mara nyumba ya shangazi yako imeezuliwa na upepo



Mambo gani tena haya yanakuja huku
Inaonekana mgonjwa bado hayupo fiti lakini hawajali kikubwa walikutembelea tuHahahaha, mbona wapo kama hawapo tu![]()


Simu zetu inabidi tuzikwe nazo kuliko kuachia mkeNmecheka mpk ikabidi kuulizwa nacheka nini![]()
