minji
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 2,750
- 4,967
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni ile kanda pendwa kamanda [emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1725483
Hiyo stori mi pia nilisoma.Mmhhh. Kuna story niliwahi kusoma zamani kwenye gazeti. Bi arusi alikufa baada ya kama week baada ya kutolewa izo kucha za kubandika vibaya nafkiri sijui alipata tetanus.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wadangaji wanamviziaItabidi tuanze kuombana Hela wenyewe kwa wenyewe sasa. Tatizo lishakuwa kubwa
[emoji38][emoji38][emoji38]