Mkuu ushakutana na ile inaitwa ukichomoa ufe..? Hii ukiwa gheto na manzi ukimuweka hii mpk mifugo ya ndani yote Kama mende panya n.k na wenyewe wanatulia hawapigi kelele maana wanajua roho ya mtu ipo mkononi..😂
Ila akili zako basi tena

Mkuu ushakutana na ile inaitwa ukichomoa ufe..? Hii ukiwa gheto na manzi ukimuweka hii mpk mifugo ya ndani yote Kama mende panya n.k na wenyewe wanatulia hawapigi kelele maana wanajua roho ya mtu ipo mkononi..![]()

Kuna familia kijijini kwetu walikuwa na tatizo hili. Watoto wote, isipokuwa mmoja tu, vidole vyao vya mikononi na miguuni vilikuwa vimeparaganyika.
Kule kuna povu la hatari.Kama linaloporomoshwa kule nyumbani kwetu![]()

Cha kushangaza wao wamelala kitanda cha mgonjwa na wako busy na simu zao mgonjwa wamemtelekezaInaonekana mgonjwa bado hayupo fiti lakini hawajali kikubwa walikutembelea tu![]()