Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,382
ANGALIZO LA SIKU YA WANAWAKE
Hii siku ni ya wanawake wanaojielewa, wanaojitegemea na wanaofanya mambo ya kueleweka kwenye jamii.
Kama wewe ni mdangaji, slay queen, mchunaji, tegemezi, umetelekeza mtoto kijijini wewe unabugia michemsho ya bure tu huku mjini, unaomba hadi hela ya toothpick, una msururu wa mabwana, unatoa mimba kama unatoa mwiba mguuni nk.. hii siku haikuhusu kabisaaaa, usiharibie wanawake wenzio siku yao.
VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA