moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,361
- 775,917
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Ili kurekebisha kipimo itabidi Wasukuma waanze kufungua migahawa yao
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu watajiuaHii timu ya wananchi hii mwaka huu kazi ipo!
View attachment 1719716
Mtoto akililia mfupa anapewa tu mkuu![emoji1]Huyo mtoto atauweza huo mzigo?
Eeeh, kumbe ni mwanamke,Nilikuwa najua ni mwanaumeView attachment 1719574
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1719588
Ndiyo yenyewe
Sema yanga wana mambo[emoji16], huyo ni player timu ya wanawake mkuuEeeh, kumbe ni mwanamke,
Yanga mna mambo
Asante. Pole kwa misiba. I hope we na familia yako mko salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Am very sorry kwa kweli, nilikuwa busy sana hapa mtaani kulikuwa na misiba plus mambo ya hapa na pale, hope tumoro ntafanya hivo
Hahahaha, Sumbawanga noma sana[emoji1787]SumbawangaView attachment 1719605
Kuna kijana W jirani wa boda boda alinyongwa hapa jirani, wengine wawili wamefiwa na Baba zao kutokana na hii corona. NkAsante. Pole kwa misiba. I hope we na familia yako mko salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Huyu ndiye yule waliyekesha uwanja wa ndege wakisubiri afike mapema alfajiri wambebe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleni asee.Kuna kijana W jirani wa boda boda alinyongwa hapa jirani, wengine wawili wamefiwa na Baba zao kutokana na hii corona. Nk
Hell noPoleni asee.
Lakini wenye nguvu wanasema nchi hii haina corona.
Mungu Awape nguvu. Na hao waliotangulia wapumzike salama. Korona hii wanaume above 60 itatumaliza aisee.Kuna kijana W jirani wa boda boda alinyongwa hapa jirani, wengine wawili wamefiwa na Baba zao kutokana na hii corona. Nk