Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

158688448_2841322922775635_5484253350113658177_n.jpeg
 
Unanikumbusha movie ya kihindi Amitabh Bhachchan ni Mungu...
Salman khan analia kila siku kwann Anamuomba Mungu na hajibu maombi yake...
Basi siku Mungu akaamua akutane na Salman Khan...
Kisha akampa muda kidogo wa uwezo wa kusikiliza kila ombi la binadamu na kulijibu...
Salman khan akajibu maombi ya binadamu wote...
Alichokikuta Duniani ni vurugu tupu... Maana kuna majambazi yenyewe yaomba yaibe ila yasikamatwe, kuna watu leo hii wanatamani kuwa wanyama na si binadamu... Kuna mtu anatamani awe na mkeo ama dada yako ila ww hautak...
 
Back
Top Bottom