[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi ilibakia kidogo nipate hizo alama 5 lakini nikakumbuka kuna kipindi nilikuwa nikitumwa madukani kununua sigara wakija kuvuta wakibakiza nami naiba nakwenda kumalizia vile vipisi. Nakohoa weee lakini nimo tu mpaka siku moja nikafumwa na anko nikapewa kichapo cha uhakika na sikurudia tena mpaka leo. Thanks anko japo kile kichapo duh [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushawahi Kukaa
kwenye Exam Room
hadi ukawa unaona
Wewe na Mbuzi
tofauti Yake ni
Mapembe tu....!
Mbuzi mjuba [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbele ni wapiMatango pori ndiyo haya[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1714392
Kama huna kiber100 lakini[emoji3][emoji3][emoji3]Watu wa Tanga wanafaidi jamaniView attachment 1714396
Yes I can [emoji123][emoji123][emoji123][emoji2099][emoji2099][emoji2099]View attachment 1714407Lugha ilikuja na meli hii
[emoji23][emoji23]Yes I can [emoji123][emoji123][emoji123][emoji2099][emoji2099][emoji2099]