Indoraptor
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 251
- 508
Jamaa yupi tenaHivi huyu jamaa ni wa wapi? Mbona sura yake imekuwa maarufu sana.!
Jamaa yupi tenaHivi huyu jamaa ni wa wapi? Mbona sura yake imekuwa maarufu sana.!
Sawa nganashe hapo tumeenda sawa, hiyo ndio naisikia leo tushazoeaga mingine!!Bablaii mimi ni nganashe (dada) wewe ni Lalashe (kaka) kiarusha hicho Bablaii
Hapo dar Vip Kwan umelazimishiwahapo kula Vyakula vya asiliAina yako ndo inatufanya tutumie vumbi la Congo
Kula gwaraa BablaiiSawa nganashe hapo tumeenda sawa, hiyo ndio naisikia leo tushazoeaga mingine!!
Haina kwere mamaaKula gwaraa Bablaii

Hivi huyu jamaa ni wa wapi? Mbona sura yake imekuwa maarufu sana.!
Huyu jamaa ni nani na alikua anashangaa nin? maan hii pich yak inatembea kwa kasi kwel
Hiyo picha ndogo anaecheka upande wa kusho si ni member wa humu jina lake linaanzia na Be..... au nimemfananish?
kaka mie nawew sawa tu ,,sielewi alikuwa na shida gani ila ndo ivyo picha yake inatembea kwa kasi kwenye memes