Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,425
- 18,456
Nieleweshe sasa?Karibu tueleweshane
Nieleweshe sasa?Karibu tueleweshane
Nieleweshe sasa?
Kuhani Noah haya ni matunda ya aina gani?
Kwani alifikiri ni Nini?"For God's sake,someone tell her it's a Mushroom"
Pamoja na yeye mwenyew nitoe sh ngap !!??
Kama mapapai vile ila sio mapapai.. 🙂Kuhani Noah haya ni matunda ya aina gani?
Nilitaka tueleweshane huku tukiwa uso to faceNieleweshe sasa?
Hizi translators zingine zinaleta aibu Na mzaha kusikofaa.
Ule uyoga unaochomoza pale,huyu mwanamke kadhani Ni 'kifaa',cha bwanake.Kwani alifikiri ni Nini?
Nilishawahi kujikosesha majibu makusudi lakini niliambiwa niko sahihi.....!Namna wateja wa TIGO wanavyo shawishiwa kushiliki "jackpot" za "Gamble" rahisi zaidi duniani.
View attachment 1664980
Haaaaa kumbe alifikiri ni dudulu 🤔,Ule uyoga unaochomoza pale,huyu mwanamke kadhani Ni 'kifaa',cha bwanake.
Labda pale SUA ipo ! Lily TonySumbawanga sirudi tenaView attachment 1665222