Yah! Kipindi kirefu sana nimekuwa nazunguka maisha yangu yamekuwa ni hotel to hotel.. chakula cha home ilikuwa inapita hata miezi hakijaingia mdomoni.. nature ya miangaiko inaweza ikaaamua uwaje uwaje kwa nyakati flani.. ila nikishao itakuwa home tu msosi 😂😂