yaani mm nawaheshimu sana na Mungu amewapa uvumilivu tangu Utoto mpaka UzeeNatumaini mnanafasi yenu ya pekee mbinguni ❤️❤️😟
View attachment 1654599
Niliwahi kuona documentary flan hv ya wamama wa Kenya ambao hawajazaa, mmoja alisema ni bora uwe na mtoto kilema uitwe mama kilema kuliko upate maumivu ya kukosa mtoto.Natumaini mnanafasi yenu ya pekee mbinguni ❤️❤️😟
View attachment 1654599






















hawapo serious hawa!!yaani mm nawaheshimu sana na Mungu amewapa uvumilivu tangu Utoto mpaka UzeeView attachment 1654669