Wembamba wa reli train inapita mkuuGroom kibonge sana...
Hakuna kitu huwa kinaniuma kama binadamu kumdhalilisha mwenzie kiasi hiki. Hakuna MTU anaependa hali hii. Badala ya kumpigia picha angemshtua akae vizuri, ndio utu.
Aisee umenikumbusha enzi hizooooo,
Halo love 😍?Aisee umenikumbusha enzi hizooooo,
Ngoja nijitahidi nihame nyumbani hizi dharau nimechoka.
Hey hun,Halo love?

Jioni tuonane Basi love wangu 😘Hey hun,![]()
Subiri ukue

Kwani chumbani kuna mtihani mpaka apate zero ?Binti hapo kafata pesa tu, chumbani ni zero hapo
We unavojua zero ipo kwenye mitihani tu kijana?Kwani chumbani kuna mtihani mpaka apate zero ?
Sasa chumbani zero ya nini ?W
We unavojua zero ipo kwenye mitihani tu kijana?
Zero ipo chini ya kitovu hapoSasa chumbani zero ya nini ?
Kwahiyo huyo mwenye kitambi ndiyo atakuwa na zero ?Zero ipo chini ya kitovu hapo
Mazingira..wametengeneza mazingira
Hilo tumbo ni shida.