Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

2.4488455151448218E18.jpg
 
Wakaka wengi wana wivu sana na dada zao. Sijui kwanini
Ni uchungu tu. Hasa kama we ndo big bro na kidada chako kilikuwa kidogo majuzi hapa unakinunulia yunifomu za shule na leo unawaona masela wanakiburuza dah! Inauma kiaina japo hata kama wewe pia unaburuza dada wa wengine huko [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Haaaaa Haaaaa 😂. Ndo hivo muwaache wadogo wa wengine
 
Back
Top Bottom