Mungu Ambariki[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
I can't breath kwa kweli
Kuna sehemu huwa napitaga asubuhi kuna Mama mmoja huwa ana Mtoto mdogo mgongoni, huku akipika mihogo na kuhudumia wateja, huwa roho inaniuma sanaMungu Ambariki[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sijaelewa mbona
Utakuta mwanamke anajisifia, Mie ndio kila kitu, hii ndio familia yake, hapa kafika ,mwisho WA reli kigoma. Hajui uliwahi kumnyonyesha mumewe huku hujala kitu tumbo liko wazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo dogo aliyekabwa hapo alitegesha kitu kama msumari chin ya tairi ili gari likianza kuondoka tairi lipate panchaHapo
Sijaelewa mbona