Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Kazidisha hayo maminyororo shingoni [emoji16][emoji16][emoji16]Huyu boya kuna mwamba kamchana kwenye kipindi Cha HIVI NI KWELI hadi akalia
Kazidisha hayo maminyororo shingoni [emoji16][emoji16][emoji16]Huyu boya kuna mwamba kamchana kwenye kipindi Cha HIVI NI KWELI hadi akalia
Wewe facial expression yako huwa inakuwaje mabaharia wakikufungukia? Au unanuna tu kawaida? [emoji16][emoji16][emoji16]Nimecheka kwa sauti usiku huu jamani
Mimi inakuwa hiyo ya America[emoji85]Wewe facial expression yako huwa inakuwaje mabaharia wakikufungukia? Au unanuna tu kawaida? [emoji16][emoji16][emoji16]