Haikuwa na ulazima ila n vzr kuweka namba za matapeli hadharanMkuu, kuna ulazima kweli wa kuiweka hii?
Duuuh hii ngoma ya leo au juzi..?
Dadek[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1600242
[emoji28][emoji2]
uganda kna vituko
Huyu boya kuna mwamba kamchana kwenye kipindi Cha HIVI NI KWELI hadi akalia
hana mbele wala nyumaUkiambiwa unaenda kama unarudi!View attachment 1598359
Nimecheka kwa sauti usiku huu jamani