Achana nae bro!! Alikuwa ananitukana na nimempuuza kama nilivyowapuuza manabii feki.Natamani kumuita jina baya huyu jamaa
We miss you fundi maiko
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1594445
Hii pic ilinifanya ni mdharau sana Amber mpk , na kum unfollow juu
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Watoto bhana unaweza kukutana nao hata 30 kila mmoja anataka akusalimie halafu mmoja anataka arudie salamu hata mara tatu.
Mkuno huo kunoga weee