Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 752
- 1,105
Hii picha imebeba meseji nzito sana








Huyu Nani pichani?!Dah. .watu wana matusiView attachment 1588365
Pole pole ukiangalia hajulikani ni Kijana au Mzee yeye ndio msukule
Hata simjuiHuyu Nani pichani?!
Kuna mama mmoja alibamba barua imetumwa Kwa binti iliandikwa kimombo, mama akaibeba Hadi Kwa kijana alikuwa akitoka na binti akawaita wazazi walikuwa wanafahamiana akatoa kithibiti la haula kumbe binti alikuwa na wapenzi zaidi ya kijana. Walimwambia mama binti yako ni mwingi huyu aliemwandikia Yuko Mbeya sijui nae utamfuata?