Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuna mama mmoja alibamba barua imetumwa Kwa binti iliandikwa kimombo, mama akaibeba Hadi Kwa kijana alikuwa akitoka na binti akawaita wazazi walikuwa wanafahamiana akatoa kithibiti la haula kumbe binti alikuwa na wapenzi zaidi ya kijana. Walimwambia mama binti yako ni mwingi huyu aliemwandikia Yuko Mbeya sijui nae utamfuata?
hiyo lazima wachoke!!!
 
255752097974_status_6ae51952c5a24b9eb3a3baf8c0120acc.jpg
 
Back
Top Bottom