Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,344
- 13,869
Huyu dada wamemdharirirsha
Huyu dada wamemdharirirsha
Hii ni kweli kabisa ...wengine sisi ni wazee wa vilinge sasa imagine mteja wako anakuona umetokelezea kwenye picha ya club ukiwa na watoto wakali kinyama huku mwenyewe chini umetupia simple ya kibabe , kati umepiga denim jeans,juu umetupia Tsht ya kishua yenye six pack ndani yake halafu juu kabisa umepigilia kapelo la kinyangema hasa...hapo ni kwa vile tu unyunyu wa bei ya Tecno hauwezi kusikika harufu yake kwenye picha......
Imagine mgonjwa wako akikuona hivyo atakuchukuliajeeee?????![]()


