Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

1792397870138.jpg
 
Hapo bado hajakupa hesabu ya vitu alivyoharibu junior 😁,,ulipr kabisa🙌
Acha kabisa, kuna ile hali unarudi nyumban unakuta kila vitu kipo vululu vululu, matoy yamejaa nyumba nzima, kelele, halafu umechoka unatamani uoge upumzike, ukifungua tu mlango ukashuhudia hiyo hali kuna namna unatamani hata kulia maana hapo shoo shoo mpaka junior alale😁😁
 
Na unapewa umbembeleze alale,utajua wewe na hatuwezi kulala😁
 
Back
Top Bottom