Ameupiga sana huyu dada, akatubu sasa๐๐๐
Hili hata mimi huwa linanishangaza sana, miaka na miaka unafanya umachinga,, ni lini utamiliki Duka la nguo, vipodozi au duka la vyakula?๐๐
Burudani kwa wooteeee๐๐๐๐๐
Kuna siku nilikuwa kwa mchepuko akaja dada wa taka bibie akajikausha kama hayupo. Sijui kwanini watu wanakuwa wazito kutoa hela za taka na ulinzi shirikishi๐
Mtu unamwambia inabidi uondoke leo urudi nyumbani kesho naingia job asubuhi, anajifanya hana haraka๐๐