moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,966
- 777,357
Ameupiga sana huyu dada, akatubu sasa😏😏😏
Ameupiga sana huyu dada, akatubu sasa😏😏😏
Hili hata mimi huwa linanishangaza sana, miaka na miaka unafanya umachinga,, ni lini utamiliki Duka la nguo, vipodozi au duka la vyakula?🙄🙄
Burudani kwa wooteeee😂😂😂😂😂
Kuna siku nilikuwa kwa mchepuko akaja dada wa taka bibie akajikausha kama hayupo. Sijui kwanini watu wanakuwa wazito kutoa hela za taka na ulinzi shirikishi😁
Mtu unamwambia inabidi uondoke leo urudi nyumbani kesho naingia job asubuhi, anajifanya hana haraka😆😆