Wee acha kujitoa ufahamu tangu lini sms ina makelele kelele ni pale tu sms inangia tena ukute umeaeka vibration hapo no kelele kbs
Dahhh! Hiyo ndo pesa Sasa!
Hii ni kabla ya original Comedy wakiwa Kaole early 2000s.Nime imiss original comedy kwakweli View attachment 1561534
Itakuwa kaniroga Kama asubuhi itatukuta pamojaafu mkeo anakuambia "MAMAKO MCHAWI" Mwanamke mwenyewe mmejuana tu SEMESTER 6!View attachment 1533154
Anaweza kupanda ndege yoyote hata isipokuwa Air Tanzania maana ana HELA, kwani alipanda kwa msaada humo? Suala la kujiuliza WEWE au BABA yako mnatumia hizo ndege kama mnavyotumia UDART?
Anaweza kupanda ndege yoyote hata isipokuwa Air Tanzania maana ana HELA, kwani alipanda kwa msaada humo? Suala la kujiuliza WEWE au BABA yako mnatumia hizo ndege kama mnavyotumia UDART?

wanakisema wasicho kiishi wajasiriasiasa aka wapinzaniNilitaka nijue generally ila poa nita google mkuu.Mtoto yupi? Huyo kwenye picha au generally? Kama ni huyo kwenye picha jibu la ugonjwa unaomsumbua liko hapo: hydrocephalus (Google).
Kama ni generally, maelezo yatakuwa yameegemea kwenye evolutionary biology